Rais wa Zanzibar Dk. Shein Atembelea Mradi wa Jengo la Hospitali ya Wazazi na Watoto Kivunge Zanzibar. - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 31 October 2018

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Atembelea Mradi wa Jengo la Hospitali ya Wazazi na Watoto Kivunge Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mhandisi wa Kampuni ya World Class Engineering Contractars(CCEC) Ndg Joshuo Nyari, akitowa maelezo ya michoro ya picha za jengo la Mama Wajawazito na Watoto Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar, wakati akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Jengo jipya la Mama Wajawazito na Watoto Katika viwanja vya Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Daktari Dhamana wa Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja Dr. Tamom Hamad Said, akitowa maelezo ya picha ya jengo jipya la Hospitali ya Kivunge la Mama Wajawaziti na Watoto linalojengwa katika eneo la hospitali hiyo wakati alipofika kutembelea ujenzi huo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea ujenzi wa jengo jipya la Hospitali ya Kivunge la  Mama Wajawazito na Watoto, linalojengwa katika viwanja vya hospitali hiyo kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu)  

Na Othman Maulid

No comments:

Post a Comment