Waziri Lugola Atembelea Eneo La Lililotokea Ajali Ya Magari Manne Yaliyokuwa Katika Msafara Wa Rais Magufuli - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 5 September 2018

Waziri Lugola Atembelea Eneo La Lililotokea Ajali Ya Magari Manne Yaliyokuwa Katika Msafara Wa Rais Magufuli


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto), akiliangalia gari la CCM Mkoa wa Mwanza lenye namba ya usajili T223 CHN Toyota Land Cruiser, lililopata ajali Kijiji cha Kasuguti Jimbo la Mwibara, wilayani Bunda Mkoa wa Mara, leo. Magari manne likiwemo moja walilopanda waandishi wa habari, yalikua katika msafara yakielekea katika Mkutano wa Rais Dkt John Pombe Magufuli, wa uzinduzi wa barabara ya kiwacho cha lami katika Kijiji cha Kisorya, wilayani humo.


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto), akizungumza na baadhi ya majeruhi wa ajali iliyojumuisha magari manne yaliyokuwa yanaenda katika Mkutano wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kwa ajili ya uzinduzi wa barabara ya kiwacho cha lami katika Kijiji cha Kisorya, Jimbo la Mwibara, wilayani Bunda, Mkoa wa Mara.

No comments:

Post a Comment