VIONGOZI WA KLABU YA MALINDI WANAOTAMBULIWA NA BODI YA WADHAMINI WASEMA UCHAGUZI WA KLABU HIYO ULIOFANYIKA HIVI KARIBUNI NI BATILI. - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 11 September 2018

VIONGOZI WA KLABU YA MALINDI WANAOTAMBULIWA NA BODI YA WADHAMINI WASEMA UCHAGUZI WA KLABU HIYO ULIOFANYIKA HIVI KARIBUNI NI BATILI.

Kaimu  Naibu Katibu Mkuu  wa Malindi Sports Club anaetambuliwa na Bodi ya Wadhamini Mtumwa Said Haji (Kijiba) akitowa maelezo kwa Waandishi wa habari kuhusu mgogoro wa Uongozi unaoikabili klabu hiyo. (kushoto) Kaimu Katibu Mkuu wa Malindi Spoti Club Ali Salum Nassor (Mkweche.)
 Waandishi wa Habari wakimsikiliza Kaimu  Naibu Katibu Mkuu  wa Malindi Sports Club  Mtumwa Said Haji (hayupo pichani) wakati wa mkutano uliofanyika Ukumbi wa sanaa Rahaleo Mjini Zanzibar.
 Mwandishi wa Habari wa Chuchu fm Redio Yahaya Saleh akiwauliza swali viongozi wa klabu ya Malindi wanaotambuliwa na Bodi ya wadhamini wakati wa mkutano uliofanyika Ukumbi wa sanaa Rahaleo Mjini Zanzibar.
Picha Na Miza Othman – Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment