UJUMBE WA TAASISI YA CHINA - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 10 September 2018

UJUMBE WA TAASISI YA CHINA


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu)-(katikati)alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya "China National Research Insitute of Food and Fermantation Industries Corporation Ltd" inayotoa mafunzo ya Mapishi na Ukarimu kwa  watendaji Mali Mali nchini  ulioongozwa na Msaidizi Rais wa taasisi hiyo   Bi.Luo Yangin (wa tatu kushoto) walipofika Ofinini kwake Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment