Taifa Stars yatua salama leo ikitokea Uganda - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 10 September 2018

Taifa Stars yatua salama leo ikitokea Uganda


Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” imerudi leo kutoka Uganda ambapo ilicheza mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza fainali za Africa dhidi ya Uganda.

Katika mchezo uliochezwa  jana Jumamosi Septemba 8,2018 nchini Uganda, Stars ilikwenda ya mabao 0-0.

Katika kundi L mpaka sasa Uganda inaongoza ikiwa na alama 4 wakati Stars ikiwa na mbili huko Lesotho ina 1 na Cape Verde wakiwa na 0.

Wakati huo Lesotho wanashuka kibaruani leo kucheza na Cape Verde ambayo haina alama yoyote.

No comments:

Post a Comment