Taifa Stars yasepa Uganda bila Yondani, kuvaana na akina Okwi - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 6 September 2018

Taifa Stars yasepa Uganda bila Yondani, kuvaana na akina Okwi


Kikosi cha Taifa Stars kimeondoka leo Dar es Salaam kuelekea Kampala Uganda kwa ajili ya mchezo wa kufuzu kuelekea AFCOM 2019.

Tanzania itamenyana na Uganda Septemba 8 2018 kwenye Uwanja wa Nambole huko Kampala ili kusaka tiketi ya kucheza mashindano hayo makubwa Afrika.

Stars imeondoka bila beki wake wa kati, Kelvin Yondani ambaye ameachwa kutokana na kupatwa na majeraha ya mguu.

Uganda itakuwa inaikaribisha Stars ambayo ina wachezaji Emmanuel Okwi na Nicolous Wadada ambao wanacheza soka la kulipwa hapa nchini.

No comments:

Post a Comment