Rais Magufuli Akutana na Spika Mstaafu Pius Msekwa na Mkewe - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 5 September 2018

Rais Magufuli Akutana na Spika Mstaafu Pius Msekwa na Mkewe

Rais Magufuli asubuhi hii ya Septemba 5, 2018 amekutana na Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania Pius Msekwa na mkewe Mama Anna Abdallah Ikulu ndogo mjini Nansio katika kisiwa cha Ukerewe Mkoani Mwanza na wamezungumza mengi ikiwemo Msekwa kupongeza jitihada za Rais Magufuli

No comments:

Post a Comment