Msanii wa muziki wa Bongo fleva Aslay Isihaka amejikuta akipatwa na fedheha baada ya shoo yake aliyopiga nchini Uingereza kukosa mashabiki. Aslay ambaye alisafiri kwenda nchini Uingereza mwezi uliopita mwishoni ambapo alienda kupiga shoo yake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Aslay aliitangaza shoo hiyo kwa kuweka picha hii: Kwa kuwa Aslay ni mmoja kati ya mastaa ambao wanafanya vizuri sana Kwenye Bongo fleva alitegemewa kupata mapokezi makubwa nchini humo Lakini cha kushangaza ni shoo viti aliyoipiga. - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 4 September 2018

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Aslay Isihaka amejikuta akipatwa na fedheha baada ya shoo yake aliyopiga nchini Uingereza kukosa mashabiki. Aslay ambaye alisafiri kwenda nchini Uingereza mwezi uliopita mwishoni ambapo alienda kupiga shoo yake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Aslay aliitangaza shoo hiyo kwa kuweka picha hii: Kwa kuwa Aslay ni mmoja kati ya mastaa ambao wanafanya vizuri sana Kwenye Bongo fleva alitegemewa kupata mapokezi makubwa nchini humo Lakini cha kushangaza ni shoo viti aliyoipiga.

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Aslay Isihaka amejikuta akipatwa na fedheha baada ya shoo yake aliyopiga nchini Uingereza kukosa mashabiki.

Aslay ambaye alisafiri kwenda nchini Uingereza mwezi uliopita mwishoni ambapo alienda kupiga shoo yake.

Kupitia ukurasa  wake wa Instagram Aslay aliitangaza shoo hiyo kwa kuweka picha hii:

Kwa kuwa Aslay ni mmoja kati ya mastaa ambao wanafanya vizuri sana Kwenye Bongo fleva alitegemewa kupata mapokezi makubwa nchini humo Lakini cha kushangaza ni shoo viti aliyoipiga.

No comments:

Post a Comment