Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth afunguka kilichopelekea kushinda taji hilo - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 9 September 2018

Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth afunguka kilichopelekea kushinda taji hilo


Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth amefunguka mwanzo mwisho kile kilichopelekea kushinda taji hili la U-Miss kwa walikuwa wanashindana na warembo wengi halafu wazuri.

Queen alisema “Nafurahia kushinda taji ili najisikia vizuri sana asante Tanzania” akiongeza “ukiwa kama mrembo lazima ujiandae kama unavyoona warembo ni wazuri sio kwamba ni wazuri kumuonekano tu hata kichwani pia wako vizuri”

No comments:

Post a Comment