Mange Kimambi Atoboa Siri ya Wema Sepetu Kushinda Miss Tanzania 2006 na Kumpita Jokate - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 5 September 2018

Mange Kimambi Atoboa Siri ya Wema Sepetu Kushinda Miss Tanzania 2006 na Kumpita Jokate

Mwanaharakati mange kimambi ameamua kutoa povu lake kwa mwanadada  wema sepetu baada ya kutokea mtafaruku baada ya kuvuja kwa clip ya hamisa akiongea na mganga wa kienyeji kuwa anataka kuwaloga wanafamilia ya diamond.

baada ya clip hiyo mwema lioenekana kupaniki na kumtukana hamisa huku akisema kuwa mange kimambi amabe amekuwa akimtetea hamisa hampi ushauri mzuri hamisa.

akisema kwa kujiamini na kumwambia mange na hamisa waache shobo mange kimambi aliamua kujibu na kumwambia kuwa akumbuke kuwa hiyo shobo yake ndio iliyomfanya yeye kupata u-miss tanzania mwaka 2006.

mange kimambe aliamua kusema kuwa kulikuwa na uwezekano mkubwa wa wema kushindwa kupata taji hilo lakini kutokana na kukaririsha maswali ndipo wema alipoweza kupata maswali na kujibu inavyostahili na kushindwa lakini alietakiwa kuwa mshindi ni Jokate Mwegelo.

kama isingekuwa shobo zangu hilo taji la miss tanzania usingelipata kabisa…i really made literally kama usingemshinda jokate kwenye maswali basi wala usingetwaa taji..maswali ambayo mimi nafaraja kota tulikalisha matako yetu chini tukasearch na kuyatafakari , tukakuandikia majibi theni nikakuletea  majibu na kukremu like sero brain taht you are…BILA SHOBO ZANGU JOKATE ANGEKUFUNIKA KWA SABABU USINGEWEZA KUMSHINDA KWA MASWALI

No comments:

Post a Comment