Mange Kimambi Afunguka "Diamond Anadhalilisha Wanawake Waliotembea nae" - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 4 September 2018

Mange Kimambi Afunguka "Diamond Anadhalilisha Wanawake Waliotembea nae"Ameandika Mange Kimambi
-@the_originaleast alianzisha kampeni ya kusema Diamond anadhalilisha wanawake nilicomment na kumwambia hawa wanawake wanajidhalilisha wenyewe. Mwanaume huwa anamtreat mwanamke vile mwanamke anamruhusu amtreat. Wanawake wa Diamond woooe wanajidhalilisha wenyewe kuanzia Zari, Hamisa, Wema yule Irene etc.
.
Ntaanza na nyumbu, mwenyewe anadai Dai ni rafiki yake siku hizi, so wanajirekodi wanalaliana and so forth, mwenyewe nyumbu anajiona mjanja ila kwanini hajifikirii yeye maisha yake? Mwanaume gani wa maana atamuoa mwanamke anaelaliana na ex wake na kurusha mavideo insta? Au Wema amegive up kuolewa au kuwa na mwanaume wa maana? Eti urafiki mbona Dai alipokuwa na Zari hakutaka urafiki na wewe? Now he is just using you for kiki. Au mbona hakudate officially? instead mmekuwa friends with benefits, tena benefits anapata yeye, wewe huna unachopata zaidi ya kuendelea kudoda hapo mjini. Hakuna mwanaume wa maana mwenye pesa zake atamuoa nyumbu kwa haya mavideo yake na Dai atapata wanaume wa kumchezea tu. Dai Akitoka kufanya video na Nyumbu then yanatoka mavideo Irene yuko madale anakata viuno, nyinyi mademu hamjielewi at all.
.
.
Na wewe @hamisamobetto baada ya siku ya leo kama utaendelea kutaka lolote kwa familia hii ya Diamond au kutaka kuwa na Diamond basi na wewe hujuelewi. Walichokufanyia leo ni kukuharibia maisha yako, wanaume wa maaan watakuogopa na familia zao zitawazuia kukuoa.Tafadhali MOVE ON with your life.Ghorofa na pesa sio kila kitu. Hapo kwa Diamond hata ukiipata ndoa utateseka mno.
.
.
Hata huyo Zari hajielewi pia ndo maana anaendelea kudhalilishwa. Kuna wanaomsifia eti Zari kamove on, Zari haja move on hata robo. Diamond akimtaka leo anarudi mbio. Matendo ya Diamond sio matendo ya mwanaume anaeomba msahamaha kwa mwanamke wake. Matendo ya Diamond toka siku kapewa ua Jeusi Hadi leo ni matendo ya mwanaume ambae hamtakiiii huyo mwanamke. Huyo Zari angekuwa kweli kaamua kumove on angeshahama kwenye nyumba ya Dai. Kama kweli anamajumba na yeye ni tajiri ila kaamua tu kubaki kwenye nyumba bya Dai it means bado anamatumaini ya kurudiana nae. .
.
All these women should get a life and leave the little boy alone amuoe mama

No comments:

Post a Comment