Hamisa Mobetto Atoa Kauli ya Kwanza Toka Awashwe Mtandaoni - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 6 September 2018

Hamisa Mobetto Atoa Kauli ya Kwanza Toka Awashwe Mtandaoni

Mwanamitindo Hamisa Mobetto ametoa kauli yake ya kwanza ikiwa ni masaa machache toka awashwe mitandaoni na baba watoto wake Diamond Platnumz.

Mapema jana Diamond kupitia kipindi cha refresh cha Wasafi TV alidai kwamba alitumiwa sauti ya mrembo huyo akizungumza na mgang wakiweka mikakati ya kuiroga familia ya rais huyo wa WCB.

Baada ya kauli hiyo kusambaa zaidi mtandaoni, mrembo huyo ameibuka na kutoa kauli yake ya kwanza kuhusiana na maneno yanayoendelea.

Remember The Power Of You ,” aliandika Hamisa Mobetto kupitia mtandao wa Instagram.

Kupitia kauli hiyo, mashabiki wengi katika mitandao ya kijamii wamempongeza mrembo huyo kwa kauli hiyo.

Soma baadhi ya komenti za mashabiki.

Le_insta_queen

Wewe ni zaidi ya mwanamke hamisamobetto hao watu wazima hovyo waache wameishiwa.

Edwinchenya

Mwenyewe yule anatokea Tandale kwao wachawi mpk basi mtamweza wapi mtoto wa kiswahili yule mamake anajua kila kona na sasa ndo watakuwa makini hatari.

Reall__l

Haf nahisi yule chiz atakupeleka mahakamani @hamisamobetto tna itakua vizuri sana misa anza kuscreenshoot post za mama ake mpka aliposema anawajukuu wawili , ili ukienda unamwaga tu ushahidi kua mtoto wako anaweza kua kwenye risk na ile familia, kwan tayari kuna mizozano kwahiyo atamuona akifika miaka saba akishajitambua , na uzuri serikali haiamini uchawi @hamisamobetto.

Husseinsainab

Misa Misa pls dont be alone surround yourself with your family u need psychological support right now, or go to a psychologist u need help this is tooo much for 24yr old to handle. I knw u dont knw me but we are here to support in any way we can, pls dont go to social media for a while. U made some mistakes like we all do we r humans, but dont let that define u, pick yourself up and keep on moving, i knw its easier said than done but one day at a time, baby steps dear baby step and you will be fine a promise. I am a mother and i feel the pain your going through and its too much for even me 39yr old to handle. WE LOVE BABY GIRL AND EVERYTHING WILL BE FINE 😘😘😘l

No comments:

Post a Comment