DK.SHEIN AZINDUA OFISI MPYA ZA WILAYA-DUNGA NA UIMARISHAJI MFUMO WA WAKALA WA USAJILI MATUKIO YA KIJAMII - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 4 September 2018

DK.SHEIN AZINDUA OFISI MPYA ZA WILAYA-DUNGA NA UIMARISHAJI MFUMO WA WAKALA WA USAJILI MATUKIO YA KIJAMII

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi wa Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt.Hussein Khamis Shaaban wakati wa uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii uliofanyika leo katika Ofisi mpya ya Wilaya Dunga Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja,[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya  uzinduzi wa Ofisi mpya za Wilaya -Dunga pamoja na uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii uliofanyika leo   Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja,(kulia)Makamo wa Pili wa rais Balozi Seif Ali Idii,Mama Mwanamwema Shein na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri (kushoto),[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuzindua jengo la Ofisi mpya za Wilaya -Dunga pamoja na uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii uliofanyika leo katika Wilaya kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo ya kifundi kutoka kwa Mkurugenzi wa Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt.Hussein Khamis Shaaban mara baada ya uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii na Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya Dunga uliofanyika leo katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja,(kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkurugenzi wa Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt.Hussein Khamis Shaaban (kulia) mara baada ya kuzindua Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii  katika hafla iliyofanyika leo katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri,[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018.
Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Dunga wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa  Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii  katika hafla iliyofanyika leo katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Serikali wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa  Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii  katika hafla iliyofanyika leo katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi mbali mbali   wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa  Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii  katika hafla iliyofanyika leo katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya uzinduzi wa  Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii  katika hafla iliyofanyika leo katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Mkurugenzi wa Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt.Hussein Khamis Shaaban na (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri,[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018..
  
Na Ramadhan Othman Abdalla

No comments:

Post a Comment