DK.SHEIN ATEMBELEA OFISI YA WAKALA WA SERIKALI WA UCHAPAJI ZANZIBAR - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 3 September 2018

DK.SHEIN ATEMBELEA OFISI YA WAKALA WA SERIKALI WA UCHAPAJI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha wakala wa Serikali wa uchapaji  Zanzibar Nd,Mohamed Suleiman alipofanya ziara leo ya kutembelea katika Ofisi hiyo iliyopo Maruhubi Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu,]03/09/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea gazeti la Zanzibar leo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha wakala wa Serikali wa uchapaji  Zanzibar Nd,Mohamed Suleiman (kushoto) alipofanya ziara leo ya kutembelea katika Ofisi ya Wakala wa Serikali wa Uchapaji Zanzibar  iliyopo Maruhubi Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu,] 03/09/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha wakala wa Serikali wa uchapaji  Zanzibar Nd,Mohamed Suleiman (kushoto) alipofanya ziara leo ya kutembelea katika Ofisi ya Wakala wa Serikali wa Uchapaji Zanzibar  iliyopo Maruhubi Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu,] 03/09/2018. 

Na Ramadhan Othman Abdalla

No comments:

Post a Comment