DK.SHEIN AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUJENGWA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR. - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 3 September 2018

DK.SHEIN AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUJENGWA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati alipotembelea Eneo linalotarajiwa kujengwa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ziara maalum aliyoifanya leo,[Picha na Ikulu.] 03/-9/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu (CCM) Mhe.Simai Mohamed Said alipowasili katika   Eneo linalotarajiwa kujengwa Mahkama Kuu ya Zanzibar akiwa katika ziara maalum aliyoifanya leo,[Picha na Ikulu.] 03/-9/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusin Unguja Mhe.Hassan Khatib Hassan (kushoto) alipotembelea Eneo linalotarajiwa kujengwa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ziara maalum aliyoifanya leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri na Waziri wa Ardhi,Maji na Nishati Mhe.Salama Aboud Talib,[Picha na Ikulu.] 03/-9/2018.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Viongozi wakati alipotembelea Eneo linalotarajiwa kujengwa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ziara maalum aliyoifanya leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 03/-9/2018.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiuliza suala kwa Mkurugenzi Mipangomiji katika Wizara ya Ardhi,Maji na Nishati Dkt.Mohamed Juma Mohamed alipotembelea katika   Eneo linalotarajiwa kujengwa Mahkama Kuu ya Zanzibar huko Tunguu Wakiwa katika ziara maalum aliyoifanya leo,[Picha na Ikulu.] 03/-9/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusin Unguja Mhe.Hassan Khatib Hassan (kushoto) alipotembelea Eneo linalotarajiwa kujengwa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ziara maalum aliyoifanya leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri na Waziri wa Ardhi,Maji na Nishati Mhe.Salama Aboud Talib,[Picha na Ikulu.] 03/-9/2018.    

Na Ramadhan Othman Abdalla

No comments:

Post a Comment