Diamond Aamua Kuweka Wazi Maisha Yake Ajitangaza Kuwa Single - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 11 September 2018

Diamond Aamua Kuweka Wazi Maisha Yake Ajitangaza Kuwa Single

Mwanamuziki mkubwa na mwenye jina kubwa afrika na duniani kwa ujumla kutoka Tanzania Diamond Platinumz ameamua kuweka wazi maisha yake ya sasa ya mahusiano na kusema kuwa kwa sasa hana mahusiano na mwanamke yoyote.


Diamond ambae amekuwa akisemwa kwa kuwa na mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti ameandika katika pag yake ya snapchat na kusema kuwa kwa sasa yeye ni single boy.

Ukiachana na kuwa amekuwa akitamaniwa na wanawake wengi sana , inawezekana ikawa nimojaya njia aliyoamua kuitumia ili kuwoanyesha baadhi ya wanawake kuwa kwa sasa yuko free na anatafuta mwanamke wa kuwa nae katika mahusiano.

Diamond ni moja ya wasaniiwanaoongoza kuwa na msululu wa wasichana ukiachana na wale ambao amekuwa akiwakana lakini wale tu mabao walikuwa wakijulikana kwa uwazi kutokana na kuyaanika mahusiano yake.

No comments:

Post a Comment