BREAKING NEWS: Rais Magufuli amteua Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 6 September 2018

BREAKING NEWS: Rais Magufuli amteua Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU

 Rais John Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi, Diwani Athumani kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) kuchukua nafasi ya Kamishna wa Polisi Valentino Mlowola ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.

No comments:

Post a Comment