BREAKING NEWS: Meneja wa Simba afungiwa mwaka mmoja kujihusisha na soka - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 10 September 2018

BREAKING NEWS: Meneja wa Simba afungiwa mwaka mmoja kujihusisha na soka

Meneja wa Simba SC, Robert Richard amefungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa muda wa mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya soka huku adhabu hiyo ikiambatana na faini ya shilingi za Kitanzania, milioni 4.

Adhabu hiyo imetolewa kutokana na kosa la kuihujumu timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'.

Taarifa zaidi utaipata kupitia blog hii, endelea kuwa nasi...

No comments:

Post a Comment