Breaking: Mtangazaji wa Clouds Fm Soudybrown na msanii Maua sama wamekamatwa na Polisi (VIDEO) - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 17 September 2018

Breaking: Mtangazaji wa Clouds Fm Soudybrown na msanii Maua sama wamekamatwa na Polisi (VIDEO)

Mtangazaji wa Clouds Fm Soudy Brown wa Shilawadu pamoja na muimbaji wa muziki, Maua Sama wanadaiwa kushikiliwa na Jeshi la polisi Dar es salaam.
Wawili hao wanadaiwa kukamatwa na Polisi Kinondoni lakini jioni hii tayari wameshahamishiwa Central Polisi.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha uhakika, kimedai wawili hao walishikwa siku ya jana baada ya kupost video mtandaoni inayowaonekana watu wakicheza wimbo ‘Iokote’ wa Maua Sama huku wakiwa wanakanyaga hela.
Bongo5 tumenasa video inayowaonyesha baadhi ya wafanyakazi Clouds Media wakiingia Polisi Central.
Kwa taarifa zaidi endelea kukaa na Bongo5.

By Ally Juma

No comments:

Post a Comment