BREAKING: MEDDIE KAGERE MWANASOKA BORA LIGI KUU BARA - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 17 September 2018

BREAKING: MEDDIE KAGERE MWANASOKA BORA LIGI KUU BARA


Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtangaza rasmi straika wa klabu ya Simba, Meddie Kagere kuwa mchezaji bora wa mwezi Agosti katika Ligi Kuu Bara.

Kagere amekuwa mchezaji wa kwanza katika msimu huu wa 2018/19 kushinda tuzo hiyo ambayo hutolewa kila baada ya mwezi mmoja.

Straika huyo ameisaidia Simba kuibuka na alama 6 za Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons na Mbeya City huku akifunga mabao matatu.

No comments:

Post a Comment