Breaking: Mahakama Yatupilia Mbali Mapingamizi ya Serikali Kuhusu Ving’amuzi Chaneli za Ndani - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 10 September 2018

Breaking: Mahakama Yatupilia Mbali Mapingamizi ya Serikali Kuhusu Ving’amuzi Chaneli za Ndani


Mapingamizi ya Wakili wa Serikali yaliyokuwa yanapinga Mahakama  kuondolewa amri ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayozitaka baadhi ya  kampuni zilizokuwa zikionyesha chaneli za ndani kuondolewa kwenye ving'amuzi vyao ymetupilia mbali na Mahakama Kuu Kanda ya Iringa.

No comments:

Post a Comment