Bobi Wine kufunguka aliyopitia Uganda kupitia mkutano wake na waandishi Washington DC - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 6 September 2018

Bobi Wine kufunguka aliyopitia Uganda kupitia mkutano wake na waandishi Washington DC

Msanii mkongwe wa muziki nchini Uganda, Bebe Cool baada ya kifika nchini Marekani kwaajili ya matibabu kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kupokea mateso mazito kutoka kwa jeshi la nchini humo, Alhamisi hii ametangaza kufanya mkutano na waandishi wa habari kwaajili ya kueleza yote yaliomkuta.
Bobi ambaye ni mbunge, amesema mkutano huyo utafanyika katika jimbo la Washington DC huku akidai utahudhuriwa na Al-Jazeera,BBC,CNN, ABC, Fox News, Times, Sun, Guardian.
“Am going to hold International Press Conference in Washington DC today and my international lawyer Robert Amsterdam at 10:00 EST and 17:00 local Kampala time.,” aliandika Bobi kupitia Instagram.
Aliongeza, “I will be addressing my current condition after suffering torture and abuse at the hands of Ugandan security officers after the August 14th arrest and the treason charges which followed and many more. Media houses including Al-Jazeera,BBC,CNN, ABC, Fox News, Times, Sun, Guardian and others will broadcast this Press confrence Live.,”
Muimbaji huyo wiki iliyopita alieleza namna alivyoteswa na wanajeshi wa nchini hiyo na kumsabishia majeraha makubwa. 

No comments:

Post a Comment