ARSENAL YAANZA KUONESHA MAKUCHA EPL, YAITWANGA CARDIFF 3-2 - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 2 September 2018

ARSENAL YAANZA KUONESHA MAKUCHA EPL, YAITWANGA CARDIFF 3-2


Kikosi cha timu ya Arsenal kimeanza ubabe katika Ligi Kuu England kwa kuitandika Cardiff City mabao 3-2.

Mabao ya Arsenal yamewekwa kimiani na Mustafi, Aubameyang na Lacazette.

Mabao ya Cardiff yamewekwa kimiani na Camarassa na Ward. 

Matokeo hayo yanaifanya Arsenal kushika nafasi ya 9 kwenye msimamo wa Ligi.

No comments:

Post a Comment