Alichokijibu Hamissa Mobetto Baada ya Sauti Yake na Mganga Kuvuja - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 5 September 2018

Alichokijibu Hamissa Mobetto Baada ya Sauti Yake na Mganga Kuvuja

Mwanadada hamisa Mobeto ambaye ni mzazi mwenzake na Daimond bado ameendelea kuandamwa katika mitandao ya kijamii na kubwa kuliko ni hili linalodaiwa kuwa ni sauti yake kuvuja aliyokuwa anawasiliana na mganga kwaajili ya kumsaidia anogeshe penzi lake na Mzazi Mwenzake Daimond pamoja na apendwe na familia nzima ya Daimond ikiwemo mama mkwe wake.

Baada ya sauti hiyo Hamissa ameshambuliwa na watu wengi ikiwemo daimond na kumjia juu kwa kumwambia kuwa kwa hicho alichokifanya anaweza hata kumuua mama yake mzazi.

Hamissa toka tuhuma hizo zianze amekaa kimya ila leo ameamua kujibu kwa aina yake kwa kupitia akaunt yake ya instagram ambayo yeye upenda kuiita maakama ya instagramu aliandika hivi..

''Remember The Power Of You 👑''

No comments:

Post a Comment