Zanzibar:Aliyemuua Mkewe Kwa Kumnyima Unyumba Ahukumiwa Kunyongwa - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 5 August 2018

Zanzibar:Aliyemuua Mkewe Kwa Kumnyima Unyumba Ahukumiwa KunyongwaJaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar Mkusa Isack Sepetu amemuhuku Mfanyabiashara Abdallah Mohamed Kangoba mwenye umri wa miaka 43, adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mkewe kwa kumpiga mapanga baada ya kunyimwa tendo la ndoa usiku wa kuamkia Oktoba 3, mwaka 2013 katika kijiji cha Donge Mtambile, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

No comments:

Post a Comment