YANGA NA MAZOEZI YA KUFA MTU MOROGORO, PICHA ZAIDI ZIKO HAPA - Karafuu24 Blog

Breaking

Friday, 10 August 2018

YANGA NA MAZOEZI YA KUFA MTU MOROGORO, PICHA ZAIDI ZIKO HAPA


Na George Mganga

Kikosi cha Yanga kimeonesha dhamira kubwa ya kuwaangamiza Waarabu, USM Alger katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaopigwa Agosti 19 jijini Dar es Salaam.

Yanga inaendelea kujifua na mazoezi kwa ajili ya mechi hiyo ikiwa pia ni sehemu ya maandalizi kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara mjini Morogoro ambapo kikosi kimewea kambi ya wiki mbili.

Tazama picha zaidi za mazoezi hayo hapa


No comments:

Post a Comment