Vanessa Kuweka Mipango Ya Ndoa na Jux Pembeni - Karafuu24 Blog

Breaking

Saturday, 11 August 2018

Vanessa Kuweka Mipango Ya Ndoa na Jux PembeniStaa wa Muziki wa Bongo fleva Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amefunguka kuhusu Mahusiano Yake na Msanii mwenzake Juma Jux.

Vanessa na Jux wamekuwa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi kwa miaka zaidi ya mitano lakini Vanessa amesisitiza kuwa hana haraka ya kuingia kwenye ndoa na mpenzi wake huyo.

Kwenye mahojiano na Kipindi cha Shilawadu cha Clouds Tv, Vee Money amesema hayo baada ya kuhojiwa kuhsuu mipango ya ndo n Jux ambapo ameweka wazi hivi sasa anafurahia Mahusiano Yake na Jux.

Vanessa na Jux wamekuwa Kwenye headlines kwa ajili ya Tour yao ya ‘In Love and Money’ ambayo imevunja rekodi kwa kuwa Tour ya kwanza kufanya na wasanii wawili ambao ni wapenzi na Kujaza mashabiki.

No comments:

Post a Comment