Ujmbe wa UAE kuondoka leo. - Karafuu24 Blog

Breaking

Saturday, 11 August 2018

Ujmbe wa UAE kuondoka leo.

Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa,Fedha na Uchumi Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa (kulia) alipokuwa akiagana na Ujumbe wa Timu ya Wataalam kutoka serikali ya Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya kumaliza ziara yao nchini ya kuja kutembelea sehemu mbali mbali kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika nchi za Umoja huo Mwanzoni kwa mwaka huu.[Picha na Ikulu.]

Na Ramadhan Othman Abdalla

No comments:

Post a Comment