UFUNGUZI WA JENGO LA "CHAWL" JENGIO LA TRENI ZANZIBAR - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 14 August 2018

UFUNGUZI WA JENGO LA "CHAWL" JENGIO LA TRENI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mji wa Zanzibar Bw.Khatib Abdulrahman  Khatib Babu mara alipowasili katika ufunguzi wa Jumba la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini ambalo limefanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka  China, wakati wa sherehe iliyofanyika leo,[Picha na Ikulu.] 14/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akifungua pazia kama ishara ya kulifungua  Jumba la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar lililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka  China, wakati wa sherehe rasmi iliyofanyika leo  (kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Khalid Mohamed Salum,[Picha na Ikulu.] 14/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa  Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Bibi.Sabra Issa Machano (katikati) mara baada ya kulifungua  Jengo la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar lililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka  China katika sherehe zilizofanyika leo,[Picha na Ikulu.] 14/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akipata maelezo kutoka kwa  Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Bibi.Sabra Issa Machano (mbele) wakati  alipotembelea sehemu mbali mbali  za Jengo la "Chawi" maarufu Jumba la Treni lililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka  China liliopo Dajani Mjini Zanzibar baada ya kulifungua rasmi katika sherehe zilizofanyika leo,[Picha na Ikulu.] 14/08/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) na  Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Bibi.Sabra Issa Machano (mbele) wakiteremka ngazi wakati alipotembelea sehemu mbali mbali  za Jengo la "Chawi" maarufu Jumba la Treni lililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka  China liliopo Dajani Mjini Zanzibar baada ya kulifungua rasmi katika sherehe zilizofanyika leo,[Picha na Ikulu.] 14/08/2018. 
Wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa  Jengo la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar ambalo ilimefanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka  China wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa kitoa hutuba yake ya ufunguzi wa jengo hilo uliofanyika leo,[Picha na Ikulu.] 14/08/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa  Jengo la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar baada ya kulifuingua leo,ililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka  China,[Picha na Ikulu.] 14/08/2018.  
Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za ufunguzi wa  Jengo la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar zilizofanyika leo ambalo limefanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka  China,[Picha na Ikulu.] 14/08/2018.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)  akisisitiza jambo alipokuwa akitoa hutuba yake leo kwa Viongozi na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa  Jengo la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar ambalo limefanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka  China,(kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Bibi.Sabra Issa Machano (kulia)Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,[Picha na Ikulu.] 14/08/2018. 

Na Ramadhan Othman Abdalla

No comments:

Post a Comment