TAMASHA LA SIMBA DAY LAIPA MAMILIONI SIMBA KUTOKA SPORTPESA - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 9 August 2018

TAMASHA LA SIMBA DAY LAIPA MAMILIONI SIMBA KUTOKA SPORTPESASportPesa imeikabidhi Simba hundi ya milioni 50 Uwanja wa Taifa kufuatia kushika nafasi ya pili kwenye michuano ya Kagame.Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa SportPesa, Tarimba Abbas (wa kwanza kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati) baada ya kukabidhi hundi ya milioni 50 kwa timu ya Simba leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kaimu Rais wa Klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ (wa kwanza kushoto) akikabidhiwa hundi ya milioni 50 na Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa SportPesa, Tarimba Abbas.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa SportPesa, Tarimba Abbas (kushoto), Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (katikati), Rais wa TFF, Wares Kalia (wa pili kutoka kulia.No comments:

Post a Comment