Rais wa Venezuela Anasurika Kuuawa Katika Shambulio Wakati Akihutubia Taifa - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 5 August 2018

Rais wa Venezuela Anasurika Kuuawa Katika Shambulio Wakati Akihutubia TaifaCARACAS, VENEZUELA: Rais Nicolás Maduro anusurika katika jaribio la kuuawa wakati akihutubia taifa hilo
-
Jaribio hilo lililojeruhi Wanajeshi 7 lilitekelezwa kwa kutumia kifaa kidogo kinachoruka angani 'Drone'
-
Waziri wa Habari wa Venezuela, amesema kuwa kifaa hicho lilijazwa milipuko na kililenga kumshambulia Rais Maduro
-
Televevisheni ya taifa hilo iliyokuwa ikirusha matangazo ya hotuba hiyo alilazimika kukatisha matangazo wakati wa shambulio hilo

No comments:

Post a Comment