ORODHA YA WACHEZAJI EPL WALIOUZWA NA KUNUNULIWA: MANCHESTER, LIVERPOOL, CHELSEA, ARSENAL - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 8 August 2018

ORODHA YA WACHEZAJI EPL WALIOUZWA NA KUNUNULIWA: MANCHESTER, LIVERPOOL, CHELSEA, ARSENAL


Kipindi cha kuhama wachezaji England majira ya sasa ya joto kitafikia kikomo 9 Agosti siku ya Alhamisi ambayo ni wiki tatu mapema ukilinganisha na miaka ya nyuma.

Klabu mbalimbali za Ligi Kuu ya England zimekuwa mbioni kuimarisha vikosi kwa kuwanunua wachezaji na pia kuwauza wengine.

Hapa chini ni orodha ya wachezaji walioondoka na waliojiunga na klabu hizo dirisha kuu la kuhama wachezaji mwaka 2018, kufikia sasa.

Arsenal
Walioingia

Bernd Leno [Bayer Leverkusen] £19.3m, Stephan Lichtsteiner [Juventus] bila ada, Matteo Guendouzi [Lorient] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Lucas Torreira [Sampdoria] £26m, Sokratis Papastathopoulos [Borussia Dortmund] Ada ya uhamisho haikufichuliwa

Walioondoka

Marc Bola [Blackpool] bila ada, Jack Wilshere [West Ham] Bila ada, Santi Cazorla [Villarreal] bila ada, Chuba Akpom [PAOK Salonika] Ada ya uhamisho haikufichuliwa.

Chelsea
Walioingia

Robert Green [Huddersfield] bila ada, Jorginho [Napoli] Ada ya uhamisho haikufichuliwa.

Walioondoka

Lewis Baker [Leeds] Mkopo, Reece James [Wigan] Mkopo, Dujon Sterling [Coventry] Mkopo, Nathan Baxter [Yeovil] Mkopo, Trevoh Chalobah [Ipswich] Mkopo, Jacob Maddox [Cheltenham] Mkopo, Charlie Colkett [Shrewsbury] Mkopo, Todd Kane [Hull] Mkopo, Mason Mount [Derby] Mkopo, Jamal Blackman [Leeds] Mkopo, Kenedy [Newcastle] Mkopo, Jordan Houghton [MK Dons] Bila ada, Jake Clarke-Salter [Vitesse Arnhem] Mkopo

Liverpool
Walioingia

Fabinho [Monaco] £39m, Alisson [Roma] Ada ya uhamisho haikufichuliwa (inadaiwa kuwa £66.8m), Xherdan Shaqiri [Stoke] £13m, Naby Keita [RB Leipzig] £48m

Walioondoka

Emre Can [Juventus] Bila ada, Jon Flanagan [Rangers] Bila ada, Jordan Williams [Rochdale] Bila ada, Ovie Ejaria [Rangers] Mkopo, Shamal George [Tranmere] Mkopo, Ryan Kent [Rangers] Mkopo, Danny Ward [Leicester] £12.5m, Harry Wilson [Derby] Mkopo

Manchester City

Walioingia

Riyad Mahrez [Leicester] £60m, Philippe Sandler [PEC Zwolle] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Claudio Gomes [PSG] Ada ya uhamisho haikufichuliwa

Walioondoka

Pablo Maffeo [Stuttgart] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Ashley Smith-Brown [Plymouth] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Will Patching [Notts County] Bila ada, Isaac Buckley-Ricketts [Peterborough] bila ada, Angus Gunn [Southampton] £13.5m, Jacob Davenport [Blackburn] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Bersant Celina [Swansea] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Joe Hart [Burnley] £3.5m

Manchester Utd
Walioingia

Fred [Shakhtar Donetsk] £47m, Diogo Dalot [Porto] £19m, Lee Grant [Stoke] Ada ya uhamisho haikufichuliwa

Walioondoka

Joe Riley [Bradford] Ada ya uhamisho haikufichuliwa, Dean Henderson [Sheffield United] Mkopo, Daley Blind [Ajax] £14m, Sam Johnstone [West Brom] £6.5m, Cameron Borthwick-Jackson [Scunthorpe] Mkopo, Joel Pereira [Vitoria Setubal] Mkopo.

Kutoka BBC

No comments:

Post a Comment