Nape Nnauye: Zitto Unajua Nakuheshimu Sana Huo Uongo Unaoutunga ni kwa Faida ya Nani? - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 13 August 2018

Nape Nnauye: Zitto Unajua Nakuheshimu Sana Huo Uongo Unaoutunga ni kwa Faida ya Nani?

KUFUATIA Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kuweka mtandaoni matokeo ya awali ya Ubunge wa Jimbo la Buyungu, Kakonko mkoani Kigoma akisema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeshindwa katika kata 12 kati ya 13, kada wa CCM, Nape Nnauye ameibuka na kumjibu hoja yake huku akisema anamuheshimu hivyo aache uongo.


No comments:

Post a Comment