MODRIC, POGBA,HAZARD, MALCOM: TETESI KUBWA ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI - Karafuu24 Blog

Breaking

Saturday, 11 August 2018

MODRIC, POGBA,HAZARD, MALCOM: TETESI KUBWA ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI


Luka Modric amemua kubaki Real Madrid. Kiungo huyo wa kati raia wa Croatia mwenye miaka 29 amehusishwa na kuhama kwenda Inter Milan. (AS - in Spanish)

Modric atasaini mkataba mpya na kupandisha mshara wake kufikia ule wa nahodha Sergio Ramos. (Marca)

Kiungo wa kati wa Manchester United mwenye miaka 25 Paul Pogba anataka kubaki kwenye klabu (RMC Sport - in French)

Kiungo wa kati wa Chelsea Tiemoue Bakayoko, 23, amekasirishwa kutokana na yeye kutokuwepo kwenye mipango ya meneja Maurizo Sarri na anatarajiwa kutolewa kwa mkopo kwa klabu ya Italia AC Milan.

Wolves wamijiwekea lengo la kishinda Ligi ya Premio katika kipindi cha miaka saba. (Times - subscription required)

Beki mpya wa Fulham mwenye miaka 24 Joe Bryan alibadili mawazo yake kuhusu kuelekea Aston Villa akiwa safarini na kikosi hicho wakati wa mazoezi baada ya kupita uchunguzi wa kiafya. (Bristol Post)

Ajenti wa kiungo cha kati wa Barcelona Malcom anasema mchezaji huyo wa miaka 21 raia wa Brazil alikataa kuelekea Roma kalipiza kisasi kutokana na jinsi walimtemda na mteja wake. (TuttoMercatoWeb- in Italian)

Kiungo wa kati wa Aston Villa mwenye miaka 22 Jack Grealish atapewa mkataba mpya na pauni milioni 30 za kununua mkataba wake. (Sun)

Aliyekuwa kiungo wa kati wa Manchester City Stephen Ireland, 31, anafikiria kuhama Ujerumani baada ya kundoka Stoke City mwisho wa msimu. (Mail)

Kutoka BBC

No comments:

Post a Comment