Mambo ni Hivi Qwisa wa Shilawadu Amvalisha Pete Mpenzi Wake... Wadau Instagramu Wamponda Mwanamke Huyo - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 14 August 2018

Mambo ni Hivi Qwisa wa Shilawadu Amvalisha Pete Mpenzi Wake... Wadau Instagramu Wamponda Mwanamke Huyo

Mtangazaji clouds aliyejitolea umaarufu kupitia kipind cha shilawadu Qwisa mzee mkavu siku ya jumamosi alimtambulisha mpenzi wake na kumvalisha picha ya uchumba.

Kama ilivyo kawaida ya ke kwa mtangazaji huyo wakiwa na mwenzake soudbroun wamekuwa wakiwachambua wapenzi wa watu mbalimbali kwa kuwakosoa na leo imekuwakwa kwisa instagramu imechafuka kwa kumchambua mwanamke huyo aliyemtambulisha huku wengine wakienda mbali na kumsema mwanamke ni mbaya na hawakutegemea kuona kitu kama hicho na wengine walienda mbali na kusema kuwa mwanamke huyo ana rangi mbili.

Kwenye Akaunti ya Qwisa aliandika Hivi "Siku ya Jumamosi ilikua ni siku kubwa Sana kwangu.. Nilifanya maamuzi makubwa Sana katika maisha maana nilijua itakua rahisi bt NO haikuwa Rahisi.. Nilienda mpaka kaburini kwa mama kwisa kuomba urahisi wa jambo hili na pia kuchukua baraka.. Nashukuru Mungu nilipo muomba MKE wangu matarajiwa Her hand in Marriage (Tuishi pamoja Milele) alinikubalia tena kwa furaha ya machozi juu (Hata mm nilikimbia chumbani kujifungia nilie kwanza, πŸ˜…πŸ˜… si unajua kidume kulia hadharani tena..) Asante Sana kwa kila rafiki, ndugu na jamaa mlioweza kufika... Nyinyi ni familia yangu.. Mlikua wengi sintoweza kutaja mmoja mmoja.. Ila asanteni sana sana... Happy Birthday @lauraally_ na Asante kwa kukubali kuishi milele na mm na watoto wetu.. Inshallah Jini mkata kamba yoyote asipite.. Damu itamwagika..''

Baada ya kutokea majaliano mazito juu ya mwanamke huyo Qwisa akunyamaza kimya na kuamua kuwatolea povu wanaomsema vibaya mpenzi wake huyo na kuandika Hivi...

''Tumejuana kwa Miaka 9..tumeishi pamoja zaidi ya miaka 4 sasa.. Kwaiyo naona comment naambiwa nimekosea au mwanamke wangu sijui kafanana na kinini naona kama Mnapata tabu na vipovu vyenu.. Am not easy to live with Ila huyu ndo alieweza.. Hao wazuri nimewaachia nyinyi.. Huyu kanizalia mtoto handsome boy, huyu natukanana nae na nagombana nae na Tunaelewana mwisho wa siku.. Huyu alisaidia kumuuguza Marehemu mamaangu.. Nyie mnaosema nimerogwa sijui nimechemka bhasi niacheni nirogwe mtajuaje labda nimelishwa nyama ya K***... Nimeridhika na kurogwa kwangu.. Ila yote kwa yote vichambo naviona na kiukweli tunachekaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapa nyumbani hatujawai xperience vichambo vya insta.. Kumbe ndo huwa mko hivyo.. PhewwwwπŸ˜…πŸ˜….. "Ila huyu aliesema wanja kama wa Mama Kamanda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumanyoko zake" πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Tupendane hivi hivi tulivyo ndugu zangu.. It adds a value to life.... Haya Endeleeni KUDRIFT uwanja wenu..''

No comments:

Post a Comment