MAMA SHEIN ATEMBELEA WAJASIRIA MALI - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 5 August 2018

MAMA SHEIN ATEMBELEA WAJASIRIA MALI

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Ujasiria mali na Ushirika ya Indonesia Bibi Emila Suhaimi alipotembelea Viwanda vidogovidogo vinavyojishuhulisha na ujasiriamali wakati alipokuwa katika ziara Mjini Jakarta ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.]
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Ujasiria mali na Ushirika ya Indonesia Bibi Emila Suhaimi alipotembelea Viwanda vidogovidogo vinavyojishuhulisha na ujasiriamali wakati alipokuwa katika ziara Mjini Jakarta ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.]
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipokuwa akitembelea Bidha mbali mbali alipotembelea Viwanda vidogo vidogo vinavyojishuhulisha na ujasiriamali wakati alipokuwa katika ziara Mjini Jakarta ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.]
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) akimuangalia Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Ujasiria mali na Ushirika ya Indonesia Bibi Emila Suhaimi wakati alipotembelea bidha mbali mbali zilizozalishwa na Viwanda vidogovidogo vya wajasiriamali wakati alipokuwa katika ziara Mjini Jakarta ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.]

 NA RAMADHAN OTHMAN ABDALLA

No comments:

Post a Comment