Huu ndio Ujumbe wa Diamond kwenda kwa mwanae Tiffah siku yake ya kuzaliwa - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 6 August 2018

Huu ndio Ujumbe wa Diamond kwenda kwa mwanae Tiffah siku yake ya kuzaliwa


KAMA ambavyo imekuwa kawaida kwa watu maarufu wa tasnia mbalimbali nchini na duniani kwa ujumla hasa katika kutimiza jambo flani, msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz,
amemwandikia ujumbe mwanaye wa kike, Princes Tiffah katika kumbukumbu ya miaka mitatu ya siku ya kuzaliwa kwa mtoto huyo ambayo anaisherehekea leo August 6, 2018.

Kupitia Instagranm, Diamond ameandika;
“I do love you, not because you are my Daughter…Nah! I love you because you love me more than aything in the World…. sometimes i even wonder why you Love me so….and that is the reason why i can’t sleep without praying for you..
“I can’t sleep without thinking about you… and most of the time when you come to my mind i feel like i owe you more than a life…Inshaallah, Mwenyez Mungu akukuze vyema, Akupe akili, Afya, Adabu, Umri mrefu wenye Furaha na Future nzuri baadae…..
“Nakupenda sana Mwanangu, Nakupenda sana Tiffah angu…. Happy 3 Birthday mama🙏🏻 @princess_tiffah 💖💖💖💞💝💞.”

No comments:

Post a Comment