Harmonize na Dully Sykes Kimewaka Tena.... - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 14 August 2018

Harmonize na Dully Sykes Kimewaka Tena....Achana na Utengenezaji wa Video ambayo jana alitangaza kuwa leo wanaenda kuitengeneza @harmonize_tz pamoja na Star wa RnB kwenye Game ya Bongo Fleva @iambenpol au ujumbe wake kuhusu kufanya kazi na One of the best Hip Hop Icon @professorjaytz

Hii ni Nyingine tena ambayo Star kutoka label ya WCB @harmonize_tz ataitoa katika list ya Track ambazo ameshazirekodi mpaka sasa na wakati huu amefanya na @princedullysykes

Kupitia Page yake ya instagram Harmonize amepost na kuandika kuwa  Ngoma na Nusu....!!! Trust me @princedullysykes thanks for another opportunity #KingDully - ikiwa ni mara nyingine tena anapata nafasi hiyo na anashukuru kwa kupata nafasi hii tena ya kufanya kazi pamoja na Dully Sykes

No comments:

Post a Comment