Dully Sykes: Watakuja Wasanii Wengi Watachuja na Kuniacha Kwenye Gemu - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 2 August 2018

Dully Sykes: Watakuja Wasanii Wengi Watachuja na Kuniacha Kwenye Gemu

MKONGWE wa muziki wa Bongo Fleva, Dully Sykes amesema moja kati ya mafanikio yake kimuziki ni kuwa mvumilivu na kutoa ngoma kuendana na wakati na ndiyo sababu hata wasanii wengi wanakuja kwenye gemu na kuchuja wakimuacha akiendelea kudunda.Akizungumza na Showbiz Xtra, Dully anayetarajiwa kupiga bonge la shoo kesho (Ijumaa) ndani ya Ukumbi wa Tate Plus, Muheza- Tanga alisema kuwa, ili kuendelea kudumu kwenye gemu lazima uendane na mashabiki.“Kwanza ujue mashabiki wanataka nini na kwa wakati gani ukifanya hivyo lazima udumu kwenye gemu,” alisema Dully.Katika usiku huo unaotambulika kama Zoom Party Dully alisema atafanya maajabu ya kufa mtu kwa kupiga nyimbo zake zote kuanzia zile za kitambo hadi mpya

No comments:

Post a Comment