Dongo Hili la Zari Kiboko "Mimi ni Mshamba wa Kiganda Naupenda Ushamba Wangu Maneno Hata Kwenye Kanga Yapo" - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 8 August 2018

Dongo Hili la Zari Kiboko "Mimi ni Mshamba wa Kiganda Naupenda Ushamba Wangu Maneno Hata Kwenye Kanga Yapo"

Mwanamama ambaye ni mzazi mwenzake na  Daimond Platinum, Zari ambaye amekuwa midomoni kwa watu leo ameibuka na jipya na kutuma dongo gizani kwa wasiojulikana na kuamua kujipachika jina la Mshamba wakiganda.

Baada ya siku chache kupita baada ya Zari kuwakataa wanakamati waliopewa zawadi ya kwenda sauzi kusheherekea birthday ya Tiffa kwa kuwaambia kuwa watachafua nyumba yake na wabongo baada ya kupata ujumbe huo na kuanza kumjibu huku wengine wakimshusha baada ya kutoa kauli hiyo kwa kumuita mshama sasa mapema ya leo mwanadada huyo ameonekana kuwajibu waliomuita mshamba na kuandika hivi kupitia instagram

"Mshamba wakiganda 😂, alafu mie napenda ushamba wangu. Twende kazi.... maneno ata kwa kanga yapo... secure the bag💰''

Lakini bado wadaku wanapekenyua mambo na kudai kuwa post uwenda amemjibu mzazi mwenzake Daimond baada ya kumuwishi mwanaye Daylan kwa kumuambia maneno mengi ikiwemo haya hapa ''
A Very Happy Birthday to the Next Platnumz...My Kitinda Mimba, Mswahili Mwenzangu, Maskini Mwenzangu...Mnyonge Mwenzangu''

No comments:

Post a Comment