DK.SHEIN ATEMBELEA SEHEMU ZA HISTORIA BALI,INDONESIA. - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 5 August 2018

DK.SHEIN ATEMBELEA SEHEMU ZA HISTORIA BALI,INDONESIA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Biashara Arifin Tirta Wijara alipotembelea katika eneo la historia la Garuda Waisnu Kencana jana liliopo Nje ya Mji wa Bali Indonesia akiwa na Ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati)Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,[Picha na Ikulu.] 04/08/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkurugenzi Biashara Arifin Tirta Wijara (kushoto) alipotembelea katika eneo la historia la Garuda Waisnu Kencana jana liliopo Nje ya Mji wa Bali Indonesia akiwa na Ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,wengine (kushoto) Balozi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Nchini Malaysia na akiiwakilisha Tanzania Nchini Indonesia Dkt,Ramadhan Kitwana Dau na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (wa pili kulia),[Picha na Ikulu.] 04/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkurugenzi Biashara Arifin Tirta Wijara (kulia) alipotembelea katika eneo la historia la Garuda Waisnu Kencana jana liliopo Nje ya Mji wa Bali Indonesia kuangalia alama za Utamaduni wa Watu wa Mji huo akiwa na Ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(kushoto) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Tanzania Nchini Indonesia Dkt,Ramadhan Kitwana Dau,[Picha na Ikulu.] 04/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkurugenzi Biashara Arifin Tirta Wijara  wakifuatana pamoja na Ujumbe wake  alipotembelea katika eneo la historia la Garuda Waisnu Kencana jana liliopo Nje ya Mji wa Bali Indonesia kuangalia alama za Utamaduni wa Mji wa Bali  katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 04/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na  Mkurugenzi Biashara Arifin Tirta Wijara,Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine katika ujumbe wake  walipotembelea katika eneo la historia la Garuda Waisnu Kencana jana liliopo Nje ya Mji wa Bali Indonesia,wakifurahia kwa makofi baada ya kupata burudani ya Ngoma za Utamaduni,[Picha na Ikulu.] 04/08/2018.
Vijana wa Kike kikundi maalum wakitumbuiza kwa wakicheza Ngoma kiutamaduni wa nchi hiyo katika eneo la historia la Garuda Waisnu Kencana jana liliopo Nje ya Mji wa Bali Indonesia,kwa kumuonesha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na ujumbe wake (hawapo pichani) walipotembelea eneo hilo wakiwa katika  ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 04/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiagana mwenyeji wake Mkurugenzi Biashara Arifin Tirta Wijara alipotembelea katika eneo la historia la Garuda Waisnu Kencana jana liliopo Nje ya Mji wa Bali Indonesia akiwa na Ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(kulia)  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Tanzania Nchini Indonesia Dkt,Ramadhan Kitwana Dau ,[Picha na Ikulu.] 04/08/2018.
NA RAMADHAN OTHMAN ABDALLA

No comments:

Post a Comment