DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA MWANI - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 5 August 2018

DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA MWANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Mwani Hendrico Soewardjono alipowasili katika kiwanda cha kampuni hiyo leo na Ujumbe wake akimalizia ziara yake ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 05/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na Mshauri Mkuu wa Bodi ya Kampuni ya Mwani ya Pt.Aga Swallow Dr.Agung Laksonoalipowasili katika kiwanda cha kampuni hiyo leo na Ujumbe wake akimalizia ziara yake ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,(kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Mwani Hendrico Soewardjono  [Picha na Ikulu.] 05/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Mwani Hendrico Soewardjono alipowasili katika kiwanda cha kampuni hiyo leo na Ujumbe wake akimalizia ziara yake ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 05/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Ujumbe wake akizungumza na   Uongozi wa Kampuni ya Mwani ya Pt Aga Swallo unaoongozwanaMkurugenzi Mkuu Hendrico Soewardjono (wa tatu kulia) alipowasili katika kiwanda cha kampuni hiyo leo na Ujumbe wake akimalizia ziara yake ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 05/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Ujumbe wake wakiangalia namna ya kazi zinavyoendelea katika Kiwanda cha Mwani cha PT Aga Swallow na kupatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu Hendrico Soewardjono wakati alipotembelea leo  akimalizia ziara yake ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 05/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Ujumbe wake  wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa  Kiwanda cha Mwani cha PT Aga Swallow  Hendrico Soewardjono wakati alipotembelea leo  akimalizia ziara yake ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 05/08/2018.       
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiangalia mwani uliosarifiwa ambao unaendelea  na unaendelea kutengenezwa bidhaa mbali mbali ulioshikwa na  Mkurugenzi Mkuu wa  Kiwanda cha Mwani cha PT Aga Swallow  Hendrico Soewardjono  wakati alipotembelea leo  akimalizia ziara yake ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 05/08/2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) na ujumbe wake wakiangalia unga wa mwani uliosarifiwa baada ya maandalizi ambao tayari kwa kuuzwa kwa matumizi ya mabo mbali mbali katika Nchi nyingi Duniani Rais alijionea wakati akimalizia ziara yake ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,(wa pilikushoto)Mkurugenzi Mkuu wa  Kiwanda cha Mwani cha PT Aga Swallow  Hendrico Soewardjono, [Picha na Ikulu.] 05/08/2018.
Baadhi ya mashine katika kiwanda cha mwani ambazo hupelekea kuusarifu mwani katika mambo mbali mbali ambayo huwapatia mapato wenyekiwanda hicho kiliopo nje ya Mji wa Jakarta Indonesia ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo alitembelea na ujumbe wake akimalizia ziara yake ya mualiko wa Makamo wa Rais wa nchini hiyo Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha nma Ikulu.]05/08/2018.

NA RAMADHAN OTHMAN ABDALLA

No comments:

Post a Comment