DK.SHEIN AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS INDONESIA - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 1 August 2018

DK.SHEIN AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS INDONESIA

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyeji wake Makamo wa Rais wa Indonesia Mohammed Jusuf Kalla,  alipofika  Ofisini kwa Makamo huyo wa Rais leo  katika Mji wa Jakarta nchini Indonesia katika ziara ya mualiko maalum  wa siku saba,[Picha na Ikulu.] 01/08/2018.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitia saini kitabu cha wageni leo alipowasili  Ofisini kwa Mwenyeji wake Makamo wa Rais wa Indonesia Mohammed Jusuf Kalla (kushoto) katika Mji wa Jakarta nchini Indonesia katika ziara ya maalum ya mualiko   wa siku saba,[Picha na Ikulu.] 01/08/2018. 
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa katika mazungumzo na  Mwenyeji wake Makamo wa Rais wa Indonesia Mohammed Jusuf Kalla (kushoto) leo Ofisini kwake katika Mji wa Jakarta nchini Indonesia katika ziara ya maalum ya mualiko   wa siku saba,[Picha na Ikulu.] 01/08/2018.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na  Mwenyeji wake Makamo wa Rais wa Indonesia Mohammed Jusuf Kalla (katikati) wakiwa katika mazungumzo pamoja na Viongozi katika Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Viongozi wa Serikali ya Indonesia leo,Ofisini kwa Makamu Jusuf Kalla,katika Mji wa Jakarta nchini Indonesia katika ziara ya maalum ya mualiko   wa siku saba,[Picha na Ikulu.] 01/08/2018.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa katika  Picha  na  Mwenyeji wake Makamo wa Rais wa Indonesia Mohammed Jusuf Kalla (kushoto) Ofisini kwake baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo katika Mji wa Jakarta nchini Indonesia katika ziara ya maalum ya mualiko   wa siku saba,[Picha na Ikulu.] 01/08/2018.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na   Mwenyeji wake Makamo wa Rais wa Indonesia Mohammed Jusuf Kalla (kulia) baada ya mazungumzo yao pamoja na Viongozi wengine wa Zanzibar na Indonesia,yaliyofanyika leo Ofisini kwa Makamo huyo katika Mji wa Jakarta nchini Indonesia katika ziara ya maalum ya mualiko   wa siku saba,[Picha na Ikulu.] 01/08/2018.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali Nchini Indonesia leo mara baada ya mazungumzo na   Mwenyeji wake Makamo wa Rais wa Indonesia Mohammed Jusuf Kalla (wa pili kulia) katika Mji wa Jakarta nchini Indonesia katika ziara ya maalum ya mualiko   wa siku saba,[Picha na Ikulu.] 01/08/2018.

NA RAMADHAN OTHMAN ABDALLA

No comments:

Post a Comment