DK. SHEIN AREJEA NCHINI KUTOKA INDONESIA. - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 7 August 2018

DK. SHEIN AREJEA NCHINI KUTOKA INDONESIA.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akiagana na Balozi Mdogo wa Tanzania Nchini Dubai Ali Jabir Mwadini    alipokuwa akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Dubai kurudi  nyumbani Tanzania baada ya kumaliza ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akibadilishana mawazo na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni   Bw.Daniel Geofrey Chongolo baada ya mapokezi akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa  Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiteremka katika Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa  Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud wakati wa mapokezi yake alipowasili katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL  akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa  Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akifuatana na  Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud wakati wa mapokezi yake alipowasili katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akiwa na Mkewe Mama Mwanawema Shein (wa pili kulia) pamoja na Ujumbe wake  kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL  akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa  Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali  wakati wa mapokezi yake alipowasili katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL  akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa  Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi  wakati wa mapokezi yake alipowasili katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL  akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa  Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein(katikati) pamoja na Viongozi wengine akiwa na Mazungumzo na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  baada ya mapokezi yake alipowasili akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa  Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein(katikati) pamoja na Viongozi wengine akiwa na Mazungumzo na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  baada ya mapokezi yake alipowasili akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa  Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018. 
NA RAMADHAN OTHMAN ABDALLA

No comments:

Post a Comment