Diva the Bawse Achafua hali ya Hewa Instagram kwa Masaa...Awaacha Watu Njia Panda - Karafuu24 Blog

Breaking

Friday, 17 August 2018

Diva the Bawse Achafua hali ya Hewa Instagram kwa Masaa...Awaacha Watu Njia Panda

Mwanadada kutoka clouds media Diva the bawse, amejikuta akichafua hali ya hewa huko instagram kutokana na attentio kubwa aliitengeneza baada ya kutangaza kuwa ana tamko kali anataka kulitoa na kuwafanya watu wakae wakisubiri ni kitu gani anataka kukisema lakini mwisho wa siku aliishia kusema kuwa amepigiwa simu na watu mbalimbali wakimuomba aache kufany hivyo.

Diva alianza kuwa kumsema mtu anayetaka kumtolea tamko kwa kusema kuwa mtu huyo ni mwembemba , kimbao kimbao na kufanya watu kupata hamu ya kutaka kumjua sana lakini mwisho  wa siku aliishia juu juu tu na kusema kuwa kuna watu wakubwa na viongozi wamemuomba ashitishe kutoa tamko hilo

Nimevumilia na nimeshimdwa, hasira iko kali juu sana,itaneni kama kuna mtu nikakuwa nimemkwaza atanisamehee, mwisho wa ubaya ni aibu leo nimesema nitavua mtu nguo.-Aliandika Diva katika ukurasa wake wa instagram.

No comments:

Post a Comment