Daimond Ashindwa Kujizuia Aamua Kubeba Jeneza la Mzee Majuto - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 9 August 2018

Daimond Ashindwa Kujizuia Aamua Kubeba Jeneza la Mzee Majuto

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz leo alikuwa miongoni mwa waombolezaji waliofika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Mzee Majto.Mwili wa msanii mkongwe wa filamu za Kibongo, Amri Athuman ‘King Majuto’, aliyefariki jana usiku, ulifikishwa Karimjee kuagwa kisha kusafirishwa kwenda nyumbani kwake Tanga kuzikwa.Baada ya kuagwa katika Viwanja vya Karimjee, mwili wa marehemu umesafirishwa mpaka jijini Tanga kwa mazishi ambapo viongozi mbalimbali wamejitokeza kushiriki katika msiba huo.

No comments:

Post a Comment