Daimond Ampa Ujumbe Mzito Mwanaye Daylan Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa "Uliyopitia Ukiwa Mdogo Yamenifanya Nikupende Sana" - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 8 August 2018

Daimond Ampa Ujumbe Mzito Mwanaye Daylan Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa "Uliyopitia Ukiwa Mdogo Yamenifanya Nikupende Sana"

Mwanamuziki Daimond leo amempa ujumbe mzito mtoto wake Daylan aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye leo ni siku yake ya kuzaliwa ambapo anatimiza mwaka mmoja.

Kupitia ukrasa wake wa instagram daimond ameonyesha mahaba  mazito mwanaye huyo na kumuandikia ujumbe huu

"A Very Happy Birthday to the Next Platnumz...My Kitinda Mimba, Mswahili Mwenzangu, Maskini Mwenzangu...Mnyonge Mwenzangu...Mengi Uloyapitia Ukiwa mdogo, usiyejua hili wala lile yamenifanya nikupende sana na kuhakikisha nakulinda na kukutunza kwa hali yoyote ntayojaaliwa...Insha Allah Mwenyez Mungu akukuze vyema, akupe Akilu, Afya, Furaha na akubariki, Ukikua uwe Mwanamziki Kama mie baba ako, Uzidi kupendwa na ukifanikiwa uwainue Maskini wenzetu zaidi Mtaani....Happy Birthday My Handsome/ Young King / Young Lion / Young Simba / Young Dangote 🤴💞🎂💞🤴 @deedaylan


No comments:

Post a Comment