COUTINHO AAMUA KUBADILI JEZI BARCELONA, SASA ATVAA JEZI NAMBA 7 - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 9 August 2018

COUTINHO AAMUA KUBADILI JEZI BARCELONA, SASA ATVAA JEZI NAMBA 7Philippe Coutinho ikiwa ni msimu mmoja tu tokea ague FC Barcelona ameamua kubadili jezi yake.

Coutinho amebadili jezi kutoka lie namba 14 aliyokabidhiwa na kuchukua namba 7 ambalo ndiyo chaguo lake.

Alijiunga na Barcelona akitokea Liverpool na alianza kuonyesha ni tegemeo kwa Barcelona na kuwa chachu mwishoni kubeba ubingwa wa La Liga.

Hata hivyo, Barcelona haikuweza kwenda mbali zaidi kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya huku wapinzani wao wakuu Madrid wakibeba ubingwa.

No comments:

Post a Comment