Breaking News: CCM Yaibuka Kidedea Uchaguzi Buyungu Kigoma - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 13 August 2018

Breaking News: CCM Yaibuka Kidedea Uchaguzi Buyungu KigomaBUYUNGU, KIGOMA: Zoezi la kuhesabu na kujumlisha kura kutoka vituo mbalimbali lamalizika saa 11:12 alfajiri ya leo
-
Chiza C. Kajoro wa CCM ameibuka mshindi kwa kupata kura 24,578 huku Elia F. Michael wa CHADEMA akipata kura 16,910

No comments:

Post a Comment