Baada ya Fella, Aika na Nahreel Waja na Navykenzo Cup - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 5 August 2018

Baada ya Fella, Aika na Nahreel Waja na Navykenzo CupLeo August 4, 2018 kundi la muziki wa bongofleva la Navy Kenzo wame-launch Navy Kenzo foundation ambayo ni project yao ya kwanza ambayo itajishughulisha na masuala mbalimbali ya kijamii ikiwemo kutoa misaada mbalimbali na kuanzisha Navykenzo Cup ikiwa ni kwa lengo la kuwasaidia vijana wenzao kunyanyua na kukuza vipaji kupitia sector hii nyingine ambayo ni tofauti na muziki.

Navykenzo wamezindua Foundation hiyo na kwa mara ya kwanza wametangaza Rasmi kuanza na Mchezo wa Soka na kuanzishaNAVY KENZO CUP ambapo mashindano yatakuwa yanafanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers na itaanza na Timu nane na wameanza na mkoa wa Dar Pekee

No comments:

Post a Comment